How to Know God – Is God Always Merciful and Loving?

The Bible records: “Now the word of the LORD came to Jonah the son of Amittai, saying, Arise, go to Nineveh, that great city, and cry against it; for their wickedness is come up before me” (Jonah 1:1-2). “And Jonah began to enter into the city a day’s journey, and he cried, and said, Yet forty days, […]

Continue Reading

What is the difference between the Age of Grace and the Age of Kingdom? Why must I accept the kingdom gospel so as to be saved?

The answer from God’s word: “At the time Jesus’ work was the redemption of all mankind. The sins of all who believed in Him were forgiven; as long as you believed in Him, He would redeem you; if you believed in Him, you were no longer a sinner, you were relieved of your sins. This […]

Continue Reading

Kiini Cha Kristo ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba Wa Mbinguni

Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu […]

Continue Reading

Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili

https://en.cbscchurch.org/wp-content/grand-media/audio/Kupata_Mwili_Mara_Mbili_Kunakamilisha_Umuhimu_wa_Kupata_Mwili.m4a Kila hatua ya kazi iliyofanywa na Mungu ina umuhimu mkubwa. Yesu alipokuja, Alikuwa mwanaume, na wakati huu Yeye ni mwanamke. Kutokana na hili, unaweza kuona kwamba Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke kwa ajili ya kazi Yake na Kwake hakuna tofauti ya jinsia. Roho Wake anapowasili, Anaweza kuchukua umbo la mwili wowote kwa matakwa Yake […]

Continue Reading

Kazi Katika Enzi ya Sheria

https://en.cbscchurch.org/wp-content/grand-media/audio/Kazi_Katika_Enzi_ya_Sheria.m4a Kazi ambayo Yehova Alifanya kwa Waisraeli ilianzishwa miongoni mwa binadamu mahali pa asili pa Mungu hapa ulimwenguni, pahali patakatifu ambapo Alikuwepo. Hii kazi Aliiwekea mipaka miongoni mwa watu wa Israeli tu. Kwanza, hakufanya kazi nje ya Israeli; badala yake, Alichagua watu Alioona kwamba walifaa ili kuwawekea mipaka upana wa kazi Yake. Israeli ndipo mahali […]

Continue Reading